
Higher Education Student Loan Board is open Ademic year 2025/2026
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu imetangaza kufunguliwa kwa dirisha jipya la kutuma maombi kuaniza Julai 2025.
Kwa wanafunzi wenye changamoto kuhusu utumaji wa maombi ya mkopo wasiliana na Ofisi ya Rais au kiongozi yeyeto hapo juu. Wahi sasa kutuma maombi ili kuepuka kukosa kwa mkopo kabla ya dirisha la masahihiso.
Wanafunzi wanaoshindwa kutuma maombi kwa sababu mbalimbali ikwemo kukosa namabari ya Utambulisho ya Mkazi, tafadhali wasiliana nasi ili tuweze kukusaidia. Serikali ya wanafunzi chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Inawakaribisha wahitimu wote wa ngazi mbalii mbali kujiunga nasi.